Jimbo la Savanes
Jimbo la Savanes | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 9°33′54″N 5°33′33″W / 9.56500°N 5.55917°W | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Savanes |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,607,497[1] |
Jimbo la Savanes (kwa Kifaransa: District des Savanes) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko kaskazini mwa nchi[1].
Mwaka 2014 (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014), idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,607,497[1].
Makao makuu yako Korhogo.
Mikoa
Marejeo
- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.