John Lennon (9 Oktoba1940 – 8 Desemba1980) alikuwa mmojawapo wa wanamuziki wanne wa bendi moja hodari iliyoitwa "The Beatles". Yeye alikuwa Mwingereza. Mke wake alikuwa Yoko Ono. Lennon aliuawa kwa kupigwa risasi mlangoni mwa nyumbani kwake jijini New York akiwa na umri wa miaka 40 tu.
Brian Epstein · Allen Klein · George Martin · Phil Spector · Abbey Road Studios · Apple Corps · Capitol Records
Albamu
Please Please Me ·With The Beatles ·A Hard Day's Night ·Beatles for Sale ·Help! ·Rubber Soul ·Revolver ·Sgt. Pepper's Lonely Hearts Club Band ·Magical Mystery Tour ·The Beatles ·Yellow Submarine ·Abbey Road ·Let It Be
Makala Zinazohusiano
Apple Records · Badfinger · Mal Evans · Bill Harry · Mary Hopkin · Jeff Lynne · Maharishi Mahesh Yogi · Heather McCartney · Linda McCartney ·Mersey Beat · Yoko Ono · Peter Shotton · Zak Starkey · Derek Taylor
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Lennon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.