Julian Bahula

Julian Bahula (13 Machi 1938 - 1 Oktoba 2023) aikuwa mpiga ngoma, mtunzi na kiongozi wa bendi kutoka nchini Afrika Kusini, aliyeishi Uingereza.

Wasifu

Sebothane Julian Bahula alizaliwa Eersterust, Pretoria. Kwanza alipata sifa ya kuwa mpiga ngoma katika bendi ya Malombo. [1] Alihamia Uingereza mwaka 1973 na baadae akaanzisha kundi la Jabula, [2] ambalo mwaka 1977 liliungana na kundi la mpiga saksafoni Dudu Pukwana kuunda kundi moja la Jabula Spear.[3]

Marejeo

  1. Eugene Chadbourne, Julian Bahula biography, Music.
  2. "Jabula" Ilihifadhiwa 9 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine., Strut Records, 21 October 2014.
  3. "Julian Sebothane Bahula | The Presidency". www.presidency.gov.za (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-02-01.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julian Bahula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.