Julius Darmaatmadja
Julius Riyadi Darmaatmadja S.J. (alizaliwa 20 Desemba 1934) ni kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Indonesia. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1994, akiwa Mwindonesia wa pili kushika cheo hicho.
Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Semarang kutoka 1983 hadi 1996 na kama Askofu Mkuu wa Jakarta kutoka 1996 hadi 2010.[1]
Marejeo
- ↑ "Darmaatmadja, Julius Riyadi, S.J.*". Catholic News Agency. CNA. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |