Kasilda
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fc/Casilda.jpg/250px-Casilda.jpg)
Kasilda (Toledo, Hispania, 950 - Briviesca, Hispania, 1050[1]) alikuwa bikira Mwislamu, binti Yahya ibn Ismail al-Mamun, mfalme wa Toledo.
Baada ya kuzoea kuwasaidia kwa huruma Wakristo waliofungwa gerezani[2] , alibatizwa huko Burgos akaishi kama mkaapweke hadi mwisho wa maisha yake marefu[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili[4].
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
- ↑ ""St. Casilda of Toledo, Spain", Antiochian Orthodox Christian Archdiocese of North America". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-26. Iliwekwa mnamo 2022-10-28.
- ↑ ""St. Casilda", Franciscan Media". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-28. Iliwekwa mnamo 2022-10-28.
- ↑ Butler, Alban; Burns, Paul (1999-01-01). Butler's Lives of the Saints: April (kwa Kiingereza). A&C Black. uk. 66. ISBN 978-0-86012-253-1.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
- Concha Espina, Casilda de Toledo (Madrid: Biblioteca nueva, 1940)
Viungo vya nje
- Zurbaran: Santa Casilda Ilihifadhiwa 31 Januari 2018 kwenye Wayback Machine.
- (Kihispania) Santa Casilda
- St. Casilda of Toledo at the Christian Iconography web site
- St. Casilda of Toledo Ilihifadhiwa 6 Novemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- SANTA CASILDA DE TOLEDO
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |