Kayanza


Kayanza ni mji mkuu wa mkoa wa Kayanza nchini Burundi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 19.443 (2005).
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kayanza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |