Kijimi (Kamerun)
Kijimi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wajimi. Lugha hii ni tofauti na Kijimi cha Nigeria. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kijimi imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijimi iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
- Lugha ya Kijimi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijimi Ilihifadhiwa 7 Mei 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kijimi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/jim
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijimi (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |