Kilamenu
Kilamenu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Walamenu kwenye visiwa vya Lamenu na Epi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilamenu imehesabiwa kuwa watu 850. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamenu iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
- lugha ya Kilamenu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilamenu Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilamenu katika Glottolog
- lugha ya Kilamenu kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilamenu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |