Kisiwa cha Mfangano

Wavuvi wa kisiwa cha Mfangano.

Kisiwa cha Mfangano ni kati ya visiwa vya kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Ni kata ya Eneo bunge la Mbita[1].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje