Lavanttal-Arena

Lavanttal-Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Wolfsberg nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Wolfsberger AC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,800.[1]

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Lavanttal-Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.