Lil Nas X
Lil Nas X | |
---|---|
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Montero Lamar Hill |
Amezaliwa | Aprili 9 1999 |
Asili yake | Marekani |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki |
Ala | sauti |
Miaka ya kazi | 2015-hadi leo |
Studio | Columbia |
Tovuti | lilnasx.com |
Montero Lamar Hill (maarufu kama Lil Nas X; alizaliwa 9 Aprili 1999) ni mwanamuziki wa Hip hop wa nchini Marekani na pia ni mwandishi wa nyimbo.
Alijulikana kimataifa baada ya kutoa kibao chake alichokiita Old Town Road ambacho kilipata umaarufu mkubwa sana katika mitandao mnamo mwaka 2019. Wimbo huo ulishika namba moja nchini marekani katika Billboard Hot 100 na kuwa katika nafasi hiyo ndani ya wiki kumi na tisa, na ndio wimbo pekee ambao umeweza kufanya hivyo tangu kuanzishwa kwa orodha hiyo ya nyimbo kali mnamo mwaka 1958. Pia Nas X, alichaguliwa katika tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya Grammy Awards ambapo alichaguliwa katika vipengele vya Wimbo bora wa mwaka, Albamu bora ya mwaka na pia kama Msanii bora chipukizi.
Mnamo Juni 2019, Lil Nas X alijitangaza kuwa shoga na ni msanii wa kwanza ambaye kashikilia namba moja katika orodha ya nyimbo bora kufanya hivyo. Nyimbo ya "Old Town Road" imeweza kumpatia tuzo kutok katika MTV Video Music Awards ikiwemo tuzo ya wimbo bora wa mwaka na ni msanii pekee mbaye ni shoga kushinda tuzo ya Cross country association na ni kwa sababu tu ya wimbo wake.
Diskografia
Albamu
Albamu | Maelezo | Nafasi iliyoshika | Mauzo | Matunukio | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Marekani [1] |
Australia [2] |
Austria [3] |
Canada [4] |
Denmark [5] |
Ufaransa [6] |
Ireland [7] |
New Zealand [8] |
Sweden [9] |
Uingereza [10] | ||||
7 |
|
2 | 5 | 72 | 1 | 9 | 15 | 11 | 5 | 10 | 23 |
|
|
Nyimbo
Nyimbo | Mwaka | Nafasi iliyoshika | Mauzo | Matunukio | Albamu | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Marekani [12][13] |
Marekani R&B /HH [14] |
Australia [15] |
Canada [16] |
Denmark |
Ireland [17] |
Norway [18] |
New Zealand [19] |
Sweden [20] |
Uingereza [10] | |||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) |
2018 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 1 | 2 | 1 |
|
7 | |
"Panini" | 2019 | 5 | 2 | 15 | 8 | 28 [27] |
18 | 26 | 14 [28] |
42 | 21 |
Tuzo
Tuzo | Mwaka | Anayetuzwa/Kinachotuzwa | Aina ya Tuzo | Matokeo | Marejeo |
---|---|---|---|---|---|
American Music Awards | 2019 | Mwenyewe | New Artist of the Year | Aliteuliwa | [32] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Collaboration of the Year | Aliteuliwa | |||
Favorite Song — Rap/Hip-Hop | Ameshinda | ||||
Video of the Year | Aliteuliwa | ||||
Favorite Song — Pop/Rock | Aliteuliwa | ||||
Apple Music Awards | 2019 | "Old Town Road" | Song of the Year | Ameshinda | [33] |
BBC Radio 1's Teen Awards | 2019 | "Old Town Road" | Best Single | Aliteuliwa | [34] |
BET Hip Hop Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Hip Hop Artist | Aliteuliwa | [35] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Single of the Year | Ameshinda | |||
Best Collab, Duo or Group | Ameshinda | ||||
Bravo Otto | 2019 | Mwenyewe | Newcomer | - | [36] |
BreakTudo Awards | 2019 | Mwenyewe | International Male Artist | Aliteuliwa | [37] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | International Hit of the Year | Aliteuliwa | |||
Country Music Association Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Musical Event of the Year | Ameshinda | [38] |
Danish Music Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Foreign Song of the Year | Aliteuliwa | [39] |
Grammy Awards | 2020 | Mwenyewe | Best New Artist | Aliteuliwa | [40] |
"Panini" | Best Rap/Sung Performance | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Record of the Year | Aliteuliwa | |||
Best Pop Duo/Group Performance | Ameshinda | ||||
Best Music Video | Ameshinda | ||||
7 | Album of the Year | Aliteuliwa | |||
iHeartRadio Music Awards | 2020 | "Old Town Road" | Song of the Year | - | |
Hip-Hop Song of the Year | - | ||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Music Video | - | |||
Best Remix | - | ||||
Mwenyewe | Best New Pop Artist | - | |||
Best New Hip-Hop Artist | - | ||||
LOS40 Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best International New Artist | Aliteuliwa | [41] |
MTV Europe Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Act | Aliteuliwa | [42] |
Best Look | Aliteuliwa | ||||
Best US Act | Aliteuliwa | ||||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Song | Aliteuliwa | |||
Best Video | Aliteuliwa | ||||
Best Collaboration | Aliteuliwa | ||||
MTV Video Music Awards | 2019 | Mwenyewe | Best New Artist | Aliteuliwa | [43] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Video of the Year | Aliteuliwa | |||
Song of the Year | Ameshinda | ||||
Best Collaboration | Aliteuliwa | ||||
Best Hip-Hop Video | Aliteuliwa | ||||
Song of Summer | Aliteuliwa | ||||
Best Direction | Ameshinda | ||||
Best Editing | Aliteuliwa | ||||
Best Art Direction | Aliteuliwa | ||||
MTV Video Play Awards[44][45][46][47] | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Winning Video | Ameshinda | [48] |
NRJ Music Awards | 2019 | Mwenyewe | International Breakthrough of the Year | Aliteuliwa | [49] |
Lil Nas X na Billy Ray Cyrus | International Duo/Group of the Year | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | International Song of the Year | Aliteuliwa | |||
Video of the Year | Aliteuliwa | ||||
People's Choice Awards | 2019 | Mwenyewe | Male Artist of 2019 | Aliteuliwa | [50] |
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Song of 2019 | Aliteuliwa | |||
Streamy Awards | 2019 | Mwenyewe | Breakthrough Artist | Ameshinda | [51] |
Swiss Music Awards | 2020 | "Old Town Road" | Best International Hit | - | [52] |
Teen Choice Awards | 2019 | Mwenyewe | Choice Male Artist | Aliteuliwa | [53] |
Choice Breakout Artist | Aliteuliwa | ||||
"Old Town Road" | Choice Song: Male Artist | Aliteuliwa | |||
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Choice Collaboration | Aliteuliwa | |||
Choice Song: R&B/Hip-Hop | Ameshinda | ||||
UK Music Video Awards | 2019 | "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) | Best Urban Video – International | Aliteuliwa | [54] |
Marejeo
- ↑ 1.0 1.1 Caulfield, Keith (Juni 30, 2019). "The Raconteurs Land First No. 1 Album on Billboard 200 Chart With 'Help Us Stranger'". Billboard. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "ARIA Australian Top 50 Albums". Australian Recording Industry Association. Julai 1, 2019. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Discographie Lil Nas X". austriancharts.at (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo Agosti 2, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2019 Archive: Canadian Albums". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-13. Iliwekwa mnamo Julai 2, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Album Top-40 Uge 25, 2019". Hitlisten. Iliwekwa mnamo Julai 3, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Discographie Lil Nas X". austriancharts.at (kwa Kijerumani). Hung Medien. Iliwekwa mnamo Agosti 2, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "IRMA – Irish Charts". Irish Recorded Music Association. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "NZ Top 40 Albums Chart". Recorded Music NZ. Julai 15, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-12. Iliwekwa mnamo Julai 12, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Veckolista Album, vecka 32". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo Agosti 9, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 10.0 10.1 "Lil Nas X". Official Charts Company. Iliwekwa mnamo Aprili 8, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Lil Nas X: 7 EP". RIAA.
- ↑ Trust, Gary (Aprili 8, 2019). "'Lil Nas X's "Old Town Road" Leaps to No. 1 on the Hot 100". Billboard. Iliwekwa mnamo Aprili 9, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Trust, Gary (Septemba 23, 2019). "Lizzo's 'Truth Hurts' Tops Billboard Hot 100 For Fourth Week, Lil Nas X's 'Panini' Hits Top 10". Billboard. Iliwekwa mnamo Septemba 24, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Top R&B/Hip-Hop Songs: April 13, 2019". Billboard. Iliwekwa mnamo Aprili 9, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 15.0 15.1 "ARIA Australian Top 50 Singles". Australian Recording Industry Association. Desemba 23, 2019. Iliwekwa mnamo Desemba 21, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Chart Search: Canadian Hot 100". Billboard. Iliwekwa mnamo Oktoba 1, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "IRMA – Irish Charts". Irish Recorded Music Association. Iliwekwa mnamo Juni 29, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Peaks in Norway:
- "Old Town Road": "VG-lista – Topp 20 Single uke 15, 2019". VG-lista. Iliwekwa mnamo Aprili 13, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - "Panini": "VG-lista – Topp 20 Single uke 40, 2019". VG-lista. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- "Old Town Road": "VG-lista – Topp 20 Single uke 15, 2019". VG-lista. Iliwekwa mnamo Aprili 13, 2019.
- ↑ "NZ Top 40 Singles". Recorded Music NZ. Aprili 15, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-27. Iliwekwa mnamo Aprili 12, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Peaks in Sweden:
- "Old Town Road": "Veckolista Singlar, vecka 16". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo Aprili 27, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - "Panini": "Veckolista Singlar, vecka 28". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo Julai 12, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- "Old Town Road": "Veckolista Singlar, vecka 16". Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo Aprili 27, 2019.
- ↑ Bjorke, Matt (Januari 7, 2020). "Top 30 Digital Country Songs Chart: January 7, 2020". Rough Stock. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-10. Iliwekwa mnamo Januari 8, 2020.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Gold & Platinum – RIAA: Lil Nas X". Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 23.0 23.1 Kigezo:Cite certification
- ↑ "Lil Nas X — Old Town Road". IFPI Denmark. Iliwekwa mnamo Mei 15, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kigezo:Cite certification
- ↑ "Sverigetopplistan". Sverigetopplistan (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2019-10-25.
- ↑ "Track Top-40 Uge 25, 2019". Hitlisten. Iliwekwa mnamo Julai 3, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "NZ Top 40 Singles Chart". Recorded Music NZ. Julai 8, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-07. Iliwekwa mnamo Julai 5, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Lil Nas X: Panini". RIAA.
- ↑ "ARIA Chart Watch #554". auspOp. Desemba 7, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-08. Iliwekwa mnamo Desemba 7, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kigezo:Cite certification
- ↑ Nordyke, Kimberly (Oktoba 9, 2018). "American Music Awards: Taylor Swift Wins Artist of the Year, Sets New Record". The Hollywood Reporter. Iliwekwa mnamo Oktoba 9, 2018.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Singleton, Micah (Desemba 2, 2019). "Billie Eilish Earns Top Honors From Inaugural Apple Music Awards". Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 3, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Best Single". BBC. Iliwekwa mnamo Oktoba 14, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Cardi B Leads 2019 BET Hip Hop Awards With 10 Nominations: Exclusive". Billboard. Iliwekwa mnamo Septemba 12, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "BRAVO-Otto-Wahl 2019: Vote für deinen Star!". Bravo Germany. Oktoba 23, 2019. Iliwekwa mnamo Oktoba 26, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "BreakTudo Awards 2019: BlackPink, BTS and Red Velvet received multiple nominations". allkpop. Iliwekwa mnamo Agosti 23, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "CMA Awards 2019: See who won big at country music's biggest night". CNN.com. Novemba 14, 2019. Iliwekwa mnamo Novemba 14, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Vindere til Danish Music Awards 2019" (kwa Danish). IFPI Danmark. Oktoba 17, 2019. Iliwekwa mnamo Oktoba 17, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "2020 GRAMMY Awards: Complete Nominees List". Grammy.com. Novemba 20, 2019. Iliwekwa mnamo Novemba 20, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "JONAS BROTHERS, ROSALÍA, AITANA, LEIVA Y MANUEL CARRASCO, MÁXIMOS NOMINADOS DE LOS40 MUSIC AWARDS 2019". Los40.com. Iliwekwa mnamo Septemba 13, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ariana Grande Leads 2019 MTV EMA Nominations". Variety. Oktoba 1, 2019. Iliwekwa mnamo Oktoba 1, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Here Are All the Winners From the 2019 MTV VMAs". Billboard. Agosti 26, 2019. Iliwekwa mnamo Agosti 29, 2019.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jessie J And Adele Top MTV Video Play Awards Winners List". Capital. Iliwekwa mnamo Desemba 16, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Corner, Lewis (Februari 8, 2012). "Adele, Jessie J scoop MTV Play awards". Digital Spy. Iliwekwa mnamo Desemba 16, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "CARDI B, BRUNO MARS, DUA LIPA, RUDIMENTAL AND CLEAN BANDIT TOP MTV'S MOST PLAYED VIDEOS OF 2018". www.warnermusic.co.nz. Iliwekwa mnamo Desemba 16, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "MTV Video Play Awards: Check Out Which Artist is Most Played - BNL". Beirut The Only Way It Should Be, NightLife, Clubbing, Events, DineOut, Concerts, Festivals, Clubs, Pubs, Bars, Hotels, Restaurants, Lifestyle, Music, Fashion. Februari 13, 2012. Iliwekwa mnamo Desemba 16, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2019 mtv video play awards". MTV UK. Iliwekwa mnamo Desemba 15, 2019.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "NRJ Music Awards 2019 : Angèle, Roméo Elvis et Lil Nas X dominent la liste des nommés" (kwa French). Ozap. Iliwekwa mnamo Septemba 30, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "2019 People's Choice Awards:Complete List of Nominees". E! News. Septemba 5, 2019. Iliwekwa mnamo Septemba 5, 2019.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Winners Announced for the 9th Annual Streamy Awards". The Streamy Awards. Desemba 14, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-16. Iliwekwa mnamo Desemba 14, 2019.
{cite web}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "«Swiss Music Awards»: Die ersten Nominierten stehen fest" (kwa German). Schweizer Radio und Fernsehen. Januari 8, 2020. Iliwekwa mnamo Januari 8, 2020.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Teen Choice Awards 2019 winners announced-see the full list". Alternative Press. Agosti 12, 2019. Iliwekwa mnamo Agosti 12, 2019.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "uk video music awards 2019 nominations". UK Music Video Awards. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-14. Iliwekwa mnamo Septemba 30, 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lil Nas X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |