Liverpool Echo
|
Jina la gazeti
|
Liverpool Echo
|
Aina ya gazeti
|
*.Gazeti la Jumatatu - Jumamosi isipokuwa Siku ya Krismasi *. Gazeti la jioni
|
Lilianzishwa
|
1879
|
Eneo la kuchapishwa
|
Merseyside
|
Nchi
|
Uingereza
|
Mhariri
|
Alistair Machray
|
Mmiliki
|
Trinity Mirror
|
Makao Makuu ya kampuni
|
Post & Echo Building Old Hall Street Liverpool
|
Nakala zinazosambazwa
|
110,000 - Jumatatu hadi JumamosiMwaka wa 2007
|
Machapisho husika
|
*. Gazeti dada:Liverpool Daily Post
|
Tovuti
|
http://www.liverpoolecho.co.uk/
|
Liverpool Echo ni gazeti linalochapishwa na kampuni ya Trinity Mirror katika eneo la Merseyside,Uingereza. Linachapishwa katika siku za Jumatatu mpaka Jumamosi, na ni gazeti la jioni la Liverpool na gazeti dada lake , Liverpool Daily Post ni gazeti la asubuhi. Katika nusu ya mwaka wa kwanza wa mwaka wa 2007, Liverpool Echo lilikuwa na usambazaji (wa Jumatatu hadi Jumamosi) wa nakala takriban 110,000.
Hapo awali, gazeti hili lilichapishwa na kampuni ya Liverpool Daily Post & Echo.
Mhariri ni Alistair Machray, aliyekuwa mhariri wa hapo awali wa gazeti la Welsh Daily Post.
Katika mwaka wa 1879, Liverpool Echo lilianza kuchapishwa kama gazeti dada kwa lile la Liverpool Daily Post. Kutoka kuanzishwa kwake hadi mwaka wa 1917, gazeti hilo liliuzwa kwa bei la nusu peni. Hivi sasa bei yake ni 47p.
Kampuni hiyo ilianza kupanuliwa katika mipango ya kuenea kimataifa. Katika mwaka wa 1985, iliendeleza na kuboresha muundo wake na ikaitwa Trinity Holdings Plc. Magazeti haya yalianzishwa tena yakichapishwa katika mitindo ya magazeti ya porojo. Yaliangazia nyakati ngumu za uhaba mkubwa wa ajira na shida za kijamii jijini Liverpool katika mwanzoni wa miaka ya 1980. Katika mwaka wa 1999, kampuni ya Trinity ilijiunga na kundi la Mirror Group Newspapers na kuwa Trinity Mirror. Kampuni hii ikawa kampuni kubwa kabisa ya uchapishaji wa magazeti nchini.
Mnamo Juni 2007, ilitangazwa kuwa gazeti la Liverpool Echo lilikuwa limeshinda haki za kuupa jina uwanja mpya katika eneo la Albert Dock. Hivyo basi, walichagua jina na uwanja huo unajulikana,hivi sasa, kama Liverpool Echo Arena.
Marejeo
Viungo vya nje
|
---|
Midlands Mashariki | |
---|
Uingereza Mashariki | Cambridge News · Colchester Evening Gazette · Eastern Daily Press · East Anglian Daily Times · Echo (Essex) · Evening Star (Ipswich) · Norwich Evening News ·Peterborough Evening Telegraph |
---|
London | City A.M. · Dziennik Polski · Evening Standard |
---|
Uingereza Kaskazini-Mashariki | Evening Chronicle (Newcastle) · Evening Gazette (Teesside) · Hartlepool Mail · The Journal (Newcastle) · The Northern Echo · Shields Gazette · Sunderland Echo |
---|
Uingereza Kaskazini-Magharibi | Blackpool Gazette · The Bolton News · Chester Evening Leader · Lancashire Evening Post · Lancashire Telegraph · Liverpool Daily Post · Liverpool Echo · Manchester Evening News · News and Star (North Cumbria) · North-West Evening Mail (South Cumbria) · Oldham Evening Chronicle · Wigan Evening Post |
---|
Eire ya Kaskazini | The Belfast Telegraph · The Irish News (Belfast) · The News Letter (Belfast) |
---|
Uskoti | The Courier (Dundee) · Daily Record (Glasgow) · Evening Telegraph (Dundee) · Edinburgh Evening News · Evening Express (Aberdeen) · Evening Times (Glasgow) · Greenock Telegraph · The Herald (Glasgow) · Paisley Daily Express · The Press and Journal (Northern Scotland) · The Scotsman |
---|
Uingereza Kusini-Mashariki | The Argus (Brighton) · The News (Portsmouth) · Oxford Mail · Southern Daily Echo (Southampton) |
---|
Uingereza Kusini-Magharibi | Bournemouth Daily Echo · Bristol Evening Post · The Citizen (Gloucestershire) · Dorset Echo · Express & Echo (Exeter) · Gloucestershire Echo · The Herald (Plymouth) · Herald Express (Torbay) · Swindon Advertiser · Western Daily Press (South West England) · Western Morning News (South West England) |
---|
Welisi | South Wales Argus (Newport) · South Wales Echo (Cardiff) · South Wales Evening Post · Western Mail · Wrexham Evening Leader |
---|
Midlands Magharibi | Birmingham Mail · Burton Mail · Coventry Telegraph · Express & Star (Wolverhampton and the Black Country) · The Sentinel (Stoke-on-Trent) · Shropshire Star · Worcester News |
---|
Yorkshire na Humber | Grimsby Telegraph · Halifax Evening Courier · Huddersfield Daily Examiner · Hull Daily Mail · The Press (York) · Scarborough Evening News · Scunthorpe Telegraph · The Star (Sheffield) · Telegraph & Argus (Bradford) · Yorkshire Post · Yorkshire Evening Post |
---|