Mad (wimbo)

“Mad”
“Mad” cover
Single ya Ne-Yo
kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman
Imetolewa 21 Oktoba 2008
Imerekodiwa 2008
Aina Pop, R&B
Urefu 4:14
Studio Def Jam
Mtunzi M.S. Eriksen, T.E. Hermansen, S. Smith
Mtayarishaji Stargate, Ne-Yo
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Camera Phone"
(2008)
"Mad"
(2008)
"Knock You Down"
(2009)

"Mad" ni wimbo wa mwimbaji na mtunzi wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani - Ne-Yo. Huu ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu yake ya Year of the Gentleman. Wimbo ulitayarishwa na Stargate na yeye mwenyewe.

Chati zake

Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Eurochart Hot 100 Singles 60
Irish Singles Chart[1] 30
Japan Hot 100 Singles 99
Australian ARIA Singles Chart 82
New Zealand Singles Chart[1] 5
Swedish Singles Chart 57
UK Singles Chart[1] 19
UK R&B Chart[2] 3
U.S. Billboard Hot 100 11
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 5
U.S. Billboard Pop 100 13
Canadian Hot 100[3] 23

Marejeo

  1. 1.0 1.1 1.2 "Ne-Yo - Mad - Music Charts". αCharts. Iliwekwa mnamo 2009-01-26.
  2. UK R&B
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-21. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.