Majimbo ya Austria
Hii ni orodha ya Majimbo ya Austria:
Majimbo
Namba | Jimbo | Kijerumani | Kifupisho | Mji mkuu | ![]() |
---|---|---|---|---|---|
1. | Burgenland | Burgenland | B | Eisenstadt | |
2. | Karinthia | Kärnten | K | Klagenfurt am Wörthersee | |
3. | Austria Chini | Niederösterreich | N | Sankt Pölten | |
4. | Austria Juu | Oberösterreich | O | Linz | |
5. | Salzburg | Salzburg | S | Salzburg | |
6. | Steiermark | Steiermark | St | Graz | |
7. | Tirol | Tirol | T | Innsbruck | |
8. | Vorarlberg | Vorarlberg | V | Bregenz | |
9. | Vienna | Wien | W | (Vienna) |
Angalia pia
- Wilaya za Austria
- Orodha ya miji ya Austria
- ISO 3166-2:AT
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Majimbo ya Austria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
![]() | |
---|---|
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |