Melanie Fiona
Melanie Fiona Hallim (aliyezaliwa 4 Julai, 1983) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Kanada. Alizaliwa na kulelewa Toronto, Ontario.[1][2]
Marejeo
- ↑ [http:// Official website]
- ↑ "Eska Music Awards". Ema.eska.pl. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-26. Iliwekwa mnamo 2011-03-02.
![]() | Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Melanie Fiona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |