Mikoa ya Chile

Hii ni orodha ya mikoa ya Chile. Mnamo Septemba 2018 utaongezeka wa 16.

Volkeno Parinacota katika Arica na Parinacota
Bonde la Elqui katika mkoa wa Coquimbo
Mbuga la Burudani Conguillío katika Araucanía
Mto Barafu Grey katika Magallanes na Antaktiki
Thes of Chile
Thes of Chile
Ramani Jina Kihispania Mji mkuu
XV Arica na Parinacota Región de Arica y Parinacota Arica
I Tarapacá Región de Tarapacá Iquique
II Antofagasta Región de Antofagasta Antofagasta
III Atacama Región de Atacama Copiapó
IV Coquimbo Región de Coquimbo La Serena
V Valparaíso Región de Valparaíso Valparaiso
VI O'Higgins Región del Libertador General Bernardo O'Higgins Rancagua
VII Maule Región del Maule Talca
VIII Biobío Región del Biobío Concepción
IX Araucanía Región de la Araucanía Temuco
XIV Los Ríos Región de Los Ríos Valdivia
X Los Lagos Región de Los Lagos Puerto Montt
XI Aisén Región Aisén del General Carlos Ibáñez del Campo Coihaique
XII Magallanes na Antaktiki Región de Magallanes y de la Antártica Chilena Punta Arenas
RM Santiago Mjini Región Metropolitana de Santiago Santiago de Chile

Wilaya za Chile kwa mkoa

XV - Mkoa wa Arica na Parinacota

  • Wilaya ya Arica
  • Wilaya ya Parinacota

I - Mkoa wa Tarapacá

  • Wilaya ya Iquique
  • Wilaya ya Tamarugal

II - Mkoa wa Antofagasta

  • Wilaya ya Antofagasta
  • Wilaya ya El Loa
  • Wilaya ya Tocopilla

III - Mkoa wa Atacama

  • Wilaya ya Copiapó
  • Wilaya ya Chañaral
  • Wilaya ya Huasco

IV - Mkoa wa Coquimbo

  • Wilaya ya Elqui
  • Wilaya ya Choapa
  • Wilaya ya Limarí

V - Mkoa wa Valparaíso

  • Wilaya ya Valparaíso
  • Wilaya ya Isla de Pascua
  • Wilaya ya Los Andes
  • Wilaya ya Petorca
  • Wilaya ya Quillota
  • Wilaya ya San Antonio
  • Wilaya ya San Felipe de Aconcagua

VI - Mkoa wa O'Higgins

  • Wilaya ya Cachapoal
  • Wilaya ya Cardenal Caro
  • Wilaya ya Colchagua

VII - Mkoa wa Maule

  • Wilaya ya Talca
  • Wilaya ya Cauquenes
  • Wilaya ya Curicó
  • Wilaya ya Linares

VIII - Mkoa wa Biobío

  • Wilaya ya Concepción
  • Wilaya ya Arauco
  • Wilaya ya Biobío
  • Wilaya ya Ñuble

IX - Mkoa wa Araucanía

  • Wilaya ya Cautín
  • Wilaya ya Malleco

XIV - Mkoa wa Los Ríos

  • Wilaya ya Valdivia
  • Wilaya ya Ranco

X - Mkoa wa Los Lagos

  • Wilaya ya Llanquihue
  • Wilaya ya Chiloé
  • Wilaya ya Osorno
  • Wilaya ya Palena

XI - Mkoa wa Aisén

  • Wilaya ya Coihaique
  • Wilaya ya Aisén
  • Wilaya ya Capitán Prat
  • Wilaya ya General Carrera

XII - Mkoa wa Magallanes na Antártica Chilena

  • Wilaya ya Magallanes
  • Wilaya ya Antártica Chilena
  • Wilaya ya Tierra del Fuego
  • Wilaya ya Última Esperanza.

RM - Mkoa wa Santiago Mjini

  • Wilaya ya Santiago
  • Wilaya ya Cordillera
  • Wilaya ya Chacabuco
  • Wilaya ya Maipo
  • Wilaya ya Melipilla
  • Wilaya ya Talagante

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Chile kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.