Milima Semien

Mlima Semien, 2011

Milima Semien ni safu ya milima ya Ethiopia (Afrika Mashariki).

Urefu wake unafikia hadi mita 4,550 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia