Mjoho kaki Mjoho kaki Mjoho kaki
Uainishaji wa kisayansi Himaya:
Plantae (Mimea ) (bila tabaka):
Angiospermae (Mimea inayotoa maua) (bila tabaka):
Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili) (bila tabaka):
Asterids (Mimea kama alizeti ) Oda:
Ericales (Mimea kama mdambi) Familia:
Ebenaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mjoho ) Jenasi:
Diospyros L. Spishi:
Diospyros kaki Thunb.
Mjoho kaki ni mti mkubwa kiasi ambao huzaa matunda yenye rangi ya machungwa. Majoho yana ukubwa wa chenza hadi chungwa . Mti huu ni miongoni mwa miti iliyopandwa tangu zamani sana. Asili yake ni katika Uchina .
Picha
The article is a derivative under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License .
A link to the original article can be found here and attribution parties here
By using this site, you agree to the Terms of Use . Gpedia ® is a registered trademark of the Cyberajah Pty Ltd