Mkoa wa Manica


Manica
Nchi Bendera ya Msumbiji Msumbiji
Mji mkuu Chimoio
Eneo
 - Jumla 61,661 km²

Manica ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Chimoio.

Wilaya

  • Wilaya ya Báruè
  • Wilaya ya Gondola
  • Wilaya ya Guro
  • Wilaya ya Machaze
  • Wilaya ya Macossa
  • Wilaya ya Manica
  • Wilaya ya Mossurize
  • Wilaya ya Sussundenga
  • Wilaya ya Tambara

Tazama pia

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Manica kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.