Mkoa wa Mashariki, Kamerun
Mkoa wa Mashariki, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini.
Mkoa huo una wakazi 835,642 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 109,002.
Tazama pia
Tanbihi
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mashariki, Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |