Mkoa wa Santa Cruz de Tenerife
Mkoa wa Santa Cruz de Tenerife | |||
| |||
Nchi | Hispania | ||
---|---|---|---|
Eneo | Visiwa vya Kanari | ||
Mji mkuu | Santa Cruz de Tenerife | ||
Eneo | |||
- Jumla | 3,381 km² | ||
Tovuti: http://www.bopsantacruzdetenerife.org/ |
Mkoa wa Santa Cruz de Tenerife ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,020,490. Mji wake mkuu ni Santa Cruz de Tenerife.
Tazama pia
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Santa Cruz de Tenerife kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |