Mkoa wa Valparaíso

Valparaíso, Chile
Mahali pa Valparaíso katika Chile na mji mkuu

Valparaíso (Kihispania: V Región de Valparaíso) ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Chile. Mji mkuu wake ni Valparaíso.

Wilaya za Valparaíso

  • Wilaya ya Valparaíso
  • Wilaya ya Isla de Pascua
  • Wilaya ya Los Andes
  • Wilaya ya Petorca
  • Wilaya ya Quillota
  • Wilaya ya San Antonio
  • Wilaya ya San Felipe de Aconcagua

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Valparaíso kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.