Mkoa wa Kocaeli
Kocaeli ni mkoa wa Uturuki . Mji wake mkuu ni İzmit , ambao pia huitwa kama jina la mkoa wenyewe la Kocaeli. Mji mkubwa mkoanio hapa kwa sasa ni Gebze . Kodi ya trafiki katika jimbo hili ni 41. Mkoa upo mwishoni kabisa mwa mashariki mwa Bahari ya Marmara , hasa katika eneo la Pwani ya İzmit. Kwa kufuatia kuwa na hali ya hewa nzuri iliyopo katika Pwani ya İzmit, mji una bandari asilia kubwa sana.
Miji ya mkoani hapa
Nafasi
Jiji
Sensa ya 1990
Sensa ya 2000
Sensa ya 2007
Makadirio ya 2008
1
Gebze
159.116
253.487
310.815
319.738
2
İzmit
190.741
195.699
248.424
255.956
3
Derince
66.141
93.997
113.991
116.806
4
Darıca
53.559
85.818
109.580
112.975
5
Körfez
63.194
81.938
97.535
99.859
6
Gölcük
65.600
55.790
71.538
73.788
7
Çayırova
7.800
24.825
36.741
38.709
8
Karamürsel
24.462
29.353
36.466
37.172
9
Dilovası
18.590
28.890
35.856
36.851
10
Değirmendere
19.530
22.086
29.906
31.023
11
Alikahya
4.074
16.300
23.192
24.182
12
Hereke
13.872
14.553
18.877
19.495
13
Yuvacık
7.338
12.101
18.491
19.404
14
Köseköy
9.200
15.639
17.492
17.757
15
Kandıra
10.427
12.641
15.473
15.770
16
Uzunçiftlik
7.261
13.302
14.893
15.342
17
Kullar
8.820
17.105
13.730
13.248
18
İhsaniye
9.186
15.000
12.839
13.054
19
Bahçecik
8.648
9.563
12.232
12.613
20
Kuruçeşme
7.743
9.490
11.785
12.113
21
Arslanbey
3.439
4.421
10.573
11.452
Idadi ya wakazi wa Kocaeli mnamo mwaka 2000
Manispaa
idadi ya wakazi
Manispaa
idadi ya wakazi
Manispaa
idadi ya wakazi
Manispaa
idadi ya wakazi
Manispaa
idadi ya wakazi
İzmit
199.023
Gebze
253.487
Derince
93.997
Darıca
85.818
Körfez
81.938
Gölcük
80.843
Karamürsel
31.475
Dilovasi
28.809
Çayırova
22.964
Değirmendere
22.086
Kullar
17.104
Alikahya
16.591
Hereke
16.189
Köseköy
15.639
Uzunçiftlik
13.032
Kandıra
12.641
Yuvacık
12.101
İhsaniye
11.607
Bahçecik
9.563
Kuruçeşme
9.490
Arslanbey
7.091
Suadiye
6.908
Maşukiye
6.438
Şekerpınar
6.309
Yeniköy
5.797
Karşıyaka
4.893
Tavşancıl
4.845
Uzuntarla
4.660
Halıdere
4.218
Büyükderbent
4.203
Wilaya za Kocaeli
Jimbo la Kocaeli limegawanyika katika wilaya 7 (miji mikuu imewekewa kukooza ):
Tazama pia
Viungo vya nje
Bendera ya Uturuki
The article is a derivative under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License .
A link to the original article can be found here and attribution parties here
By using this site, you agree to the Terms of Use . Gpedia ® is a registered trademark of the Cyberajah Pty Ltd