Mkunumbi

Mkunumbi ni kata ya kaunti ya Lamu, eneo bunge la Lamu Magharibi, mashariki mwa Kenya[1].

Historia

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi