Mlima Korab

Mlima wa Korab

Mlima Korab ni mlima wa Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Albania na Jamhuri ya Masedonia Kaskazini.

Urefu wake ni mita 2,764 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Korab kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.