Morihei Ueshiba
Morihei Ueshiba (14 Desemba 1883 – 26 Aprili 1969) [1] anajulikana zaidi kama mgunduzi wa mchezo wa mapigano wa kujihami wa Aikido [2] uliokuwa ukijulikana mwanzo kama Aikibudo ama Aikinomichi
Alizaliwa katika kijiji cha Nishinotani nchini Japani akiwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia ya watoto wanne ya Yoroku Ueshiba.
Tanbihi
- ↑ "Aikido History". aikidohistory.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-26.
- ↑ "Aikido". Meikyokai Aikido (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-02-26.