Mtaro wa Kazinga

Mtaro wa Kazinga unapatikana katika wilaya ya Kasese, nchini Uganda.

Ni mtaro asilia wenye urefu wa kilometa 32 unaounganisha ziwa Dweru na ziwa Edward. Kutoka huko maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje