Mtimbi
Mtimbi (Imperata cylindrica )
Mitimbi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:
Plantae (Mimea)
(bila tabaka):
Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka):
Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
(bila tabaka):
Commelinids (Mimea kama jaja)
Oda:
Poales (Mimea kama manyasi )
Familia:
Poaceae (Mimea iliyo mnasaba na manyasi)
Nusufamilia:
Panicoideae
Jenasi:
Imperata Cirillo
Spishi:
I. cylindrica (L. ) P. Beauv.
Mtimbi au msufi wa bara (Imperata cylindrica ) ni aina ya nyasi inayoishi miaka mingi. Asili yake ni Asia lakini umewasilishwa katika mabara mengine. Katika Afrika nyasi hili limekuwa mmea msumbufu mbaya sana.
Viungo vya nje
Picha
The article is a derivative under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License .
A link to the original article can be found here and attribution parties here
By using this site, you agree to the Terms of Use . Gpedia ® is a registered trademark of the Cyberajah Pty Ltd