Mto Kasai

Muonekano wa Mto wa Kasai wakati wa jua linapozama


Mto wa Kasai
Mro Kasai katika Beseni ya Kongo
Chanzo Nyanda za juu za Bié (Angola)
Mdomo Kongo 170 km kaskazini ya Kinshasa
Nchi Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Urefu 2,153 km
Kimo cha chanzo takriban 1,500 m
Mkondo hadi 12,000 m³/s
Eneo la beseni 881,890 km²

Kasai ni tawimto refu la Kongo unaoanza kwenye Nyanda za Juu za Bie za Angola. Chanzo kiko kwenye 12° kus/19° kask. kaskazini ya mji wa Luena. Inaelekea magharibi km 400 inapogeukia kaskazini. Sasa iko mpaka kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Angola kwa 483 km. Katika sehemu hi kuna maporomoko makubwa kadhaa na lalio la mto unapanuka hadi 10 km.

Kabla ya kufikia Ilebo mto unageukia kuelekea magharibi-kaskazini. Sasa ni pia njia ya maji inayotumika na meli. Mto unapanuka kuwa bwawa la Wissmann. Karibu na mji wa Bandundu mto wa Kwango unajiunga na Kasai.

Sehemu ya mwisho mto umejulikana kwa jina la Kwa hadi kufika Kongo.

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kasai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.