Namba isiyowiana
Namba isiyowiana (kwa Kiingereza: en:irrational number[1]) ni namba halisi ambayo haiwezi kuonyeshwa kama wianisho safi baina ya nambakamili.
Mifano mashuhuri ni kipeuo mraba cha 2 na namba ya duara π (Pi). Kwa mfano Pi ikiandikwa kwa namna ya desimali inaanza hivi 3.14159265358979 .... lakini haiwezi kamwe kuonyeshwa kikamilifu kwa kuongeza tarakimu baada ya nukta.
Tanbihi
- ↑ Jina la Kilatini-Kiingereza "irrational" haimaanishi "bila akili" ("ratio" kama akili, hekima, en:reason) lakini "bila wianisho" ("ratio" kama uwiano, relation)
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Irrational Numbers, kwenye tovuti ya mathisfun.com
- Rational and Irrational Numbers, tovuti ya factmonster.com
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Namba isiyowiana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |