Obvious
"Obvious " ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife , ulitolewa kama single ya tatu kutoka katika albamu yao ya nne iliyojulikana kwa jina la Turnaround .
Orodha ya nyimbo
CD ya kwanza
Obvious (Single Mix)
I'm Missing Loving You
To Be With You (Live From The Greatest Hits Tour)
Obvious (Video)
Obvious (Making Of The Video)
CD ya pili
Obvious (Single Mix)
Westlife Hits Medley (Flying Without Wings / My Love / Mandy)
Chati
Waliourudia
Mwimbaji Anthony Callea, aliyekuwa moja ya washiriki katika shindano la Australian Idol kwa mwaka 2004 aliurudia wimbo huu kati albamu yake iliyofanya vizuri ya Anthony Callea ya mwaka 2005 .
Marejeo
Viungo ya nje
The article is a derivative under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License .
A link to the original article can be found here and attribution parties here
By using this site, you agree to the Terms of Use . Gpedia ® is a registered trademark of the Cyberajah Pty Ltd