One Day in Your Life

One Day in Your Life
One Day in Your Life Cover
Compilation album ya Michael Jackson
Imetolewa 25 Machi 1981
Imerekodiwa 1973-1975
Aina Soul
Urefu 33:58
Lebo Motown
Mtayarishaji Watayarishaji mbalimbali
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Off the Wall
(1979)
One Day in Your Life
(1981)
Thriller
(1982)


One Day in Your Life ni jina la kutaja albamu ya nyimbo kali kadhaa za Michael Jackson. Ingawa albamu haikuwa katika orodha ya matoleo ya albamu rasmi. Albamu hii inachukua nyimbo za mwaka wa 1973 hadi 1975, lakini ilikuwa kutolewa na studio ya Motown Records mnamo mwaka wa 1981.

Orodha ya nyimbo

# JinaMtunzi (wa) Urefu
1. "One Day in Your Life"  Renée Armand, Sam Brown 4:15
2. "Don't Say Goodbye Again"  Pam Sawyer, Leon Ware 3:27
3. "You're My Best Friend, My Love"  Sam Brown, Christine Yarian 3:25
4. "Take Me Back"  Edward Holland, Jr., Brian Holland 3:24
5. "We've Got Forever"  Elliot Willensky 3:12
6. "It's Too Late to Change the Time"  Pam Sawyer, Leon Ware 3:57
7. "You Are There"  Sam Brown, Rand Meitzenheimer, Christine Yarian 3:22
8. "Dear Michael"  Hal Davis, Elliot Willensky 2:36
9. "I'll Come Home to You"  Freddie Perren, Christine Yarian 3:02
10. "Make Tonight All Mine"  Freddie Perren, Christine Yarian 3:18

Kibao Kilichoshika Chati



Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu One Day in Your Life kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.