Orodha ya Hifadhi za Taifa nchini Kenya

Mfumo wa kitaifa wa mbuga za Kenya unaimarishwa na Shirika la Kenya la Wanyama pori (Kenya Wildlife Service).

Hifadhi za Taifa

Hifadhi teule

  • Hifadhi ya Arawale
  • Hifadhi ya Bisanadi
  • Hifadhi ya Boni
  • Hifadhi ya Dodori
  • Hifadhi ya Msitu Kakamega
  • Hifadhi ya Paa ya Kisumu
  • Hifadhi ya Samburu
  • Hifadhi ya Buffalo Springs
  • Hifadhi ya Tembo ya Mwaluganje
  • Hifadhi ya Rimoi
  • Hifadhi ya Shimba Hills
  • Hifadhi ya Masai Mara
  • Hifadhi ya Taifa ya Mwea
  • Hifadhi ya Primates ya Tana River
  • Hifadhi ya Msitu Witu
  • Hifadhi ya Ziwa Bogoria

Mbuga na Hifadhi za Majini

  • Hifadhi ya kitaifa ya maji ya Kiunga
  • Mbuga ya maji ya kitaifa ya Kisite-Mpunguti
  • Mbuga na Hifadhi za Malindi
  • Mbuga na Hifadhi ya kitaifa ya maji ya Mombasa
  • Mbuga ya maji ya kitaifa ya Mpunguti
  • Hifadhi ya Primates ya Tana River
  • Hifadhi ya Watamu

Tazama pia

Viungo vya nje