Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania

Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Makala hii inaonyesha orodha ya mawaziri wakuu wa Tanzania.

Orodha ya Viongozi wa Serikali ya Tanzania

Waziri Kiongozi wa Tanganyika
Jina Amechukua Ofisi Ameondoka Ofisini Chama
Julius Kambarage Nyerere 2 Septemba 1960 1 Mei 1961 TANU
Mawaziri Wakuu wa Tanganyika
Julius Kambarage Nyerere 1 Mei 1961 22 Januari 1962 TANU
Rashidi Kawawa 22 Januari 1962 9 Desemba 1962 TANU
Nafasi Zilizoondolewa Tangu (9 Desemba 1962-17 Februari 1972)
Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rashidi Kawawa 17 Februari 1972 13 Februari 1977 TANU
Edward Moringe Sokoine 13 Februari 1977 7 Novemba 1980 CCM
Cleopa David Msuya 7 Novemba 1980 24 Februari 1983 CCM
Edward Moringe Sokoine 24 Februari 1983 12 Aprili 1984 CCM
Salim Ahmed Salim 24 Aprili 1984 5 Novemba 1985 CCM
Joseph Sinde Warioba 5 Novemba 1985 9 Novemba 1990 CCM
John Malecela 9 Novemba 1990 7 Desemba 1994 CCM
Cleopa David Msuya 7 Desemba 1994 28 Novemba 1995 CCM
Frederick Sumaye 28 Novemba 1995 30 Desemba 2005 CCM
Edward Ngoyai Lowassa 30 Desemba 2005 7 Februari 2008 CCM
Mizengo Pinda 9 Februari 2008 20 Novemba 2015 CCM
Kassim Majaliwa Majaliwa 19 Novemba 2015 Mpaka sasa CCM

Ushirika wa Kisiasa

Viungo vya nje

Tazama pia