Otto wa Bamberg

Mt. Otto katika mchoro wa ukutani.

Otto wa Bamberg (1060/106130 Juni 1139) alikuwa chansela wa Dola Takatifu la Roma[1] , halafu askofu wa Bamberg nchini Ujerumani aliyeinjilisha kwa bidii Pomerania[2] alipoongoa Wapagani 20,000 na miji saba bila kutumia silaha kama ilivyofanywa awali[3].

Kwa maadili yake bora[4], tangu kale alitambuliwa kuwa mtakatifu akatangazwa hivyo na Papa Klementi III (1189).

Sikukuu yake ni 30 Juni[5].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.