Papa Klementi V

Papa Klementi V.

Papa Klementi V (126420 Aprili 1314) alikuwa Papa kuanzia tarehe 5 Juni/14 Novemba 1305 hadi kifo chake[1]. Alitokea Villandraut, Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bertrand de Got.

Alimfuata Papa Benedikto XI akafuatwa na Papa Yohane XXII.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.