Peter Joseph Serukamba

Peter Joseph Serukamba (amezaliwa tar. 6 Juni 1972) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa mwaka 20152020. [1][2].

Tazama pia

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017
  2. Mengi kuhusu Peter Joseph Serukamba (13 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.