Piemonte
Piemonte ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kaskazini magharibi na kupakana na Ufaransa na Uswisi katika milima ya Alps.
Mji mkuu wake ni Torino, ambao ni wa nne nchini baada ya Roma, Milano na Napoli.
Tazama pia
Viungo vya nje
- (Kiitalia) Tovuti rasmi
Mikoa ya kawaida | |
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
Mikoa yenye katiba ya pekee | |
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Piemonte kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |