Pixel 7a

Pixel 7a

Pixel 7a ni simu janja ya Android iliyotengenezwa na kuuzwa na Google kama sehemu ya mfululizo wa Google Pixel. Simu hii ni toleo dogo la Pixel 7 na Pixel 7 Pro. Ilitangazwa kwenye hafla ya Google I/O mwezi Mei 2023 na baadaye kuchukuliwa nafasi yake na Pixel 8a mwaka uliofuata[1][2][3][4][5][6][7].

Tanbihii

  1. Preston, Dominic (10 Mei 2023). "Google Pixel 7a: Everything you need to know". TechAdvisor.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Serbezov, Stanislav (10 Mei 2023). "Pixel 7a release date, price, features, and news". PhoneArena.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Priday, Richard (10 Mei 2023). "Google Pixel 7a unveiled — release date, price, specs and all the upgrades". Tom’s Guide.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Horne, Matt (10 Mei 2023). "Google Pixel 7a release date: Everything you need to know". Android Authority.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Chen, Brian X. (10 Mei 2023). "Pixel 7A Review: We're Running Out of Reasons to Splurge on a 'Pro' Phone". The New York Times. ISSN 0362-4331. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Mei 2023. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2023.{cite news}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Google unveils Pixel 7a with Tensor G2, 90Hz display and 64MP camera". GSMArena. 10 Mei 2023.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Welch, Chris (10 Mei 2023). "Google announces Pixel 7a with 90Hz display and wireless charging". The Verge.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.