Pro Evolution Soccer 2019

Logo ya PES 2019.

Pro Evolution Soccer 2019 (kifupi: PES 2019) ni mmojawapo wa michezo iliyoandaliwa na PES Productions na kuchapishwa na Konami kwa ajili ya kompyuta, PlayStation 4 na Xbox One.

PES 2019 ni mchezo unaohusu mpira wa miguu. Mchezo huu ni wa 18 katika mfululizo wa PES na ulipangwa kutolewa tarehe 28 Agosti 2018 huko Marekani na tarehe 30 Agosti 2018 huko Ulaya.uhjj

Mchezaji wa Barcelona F.C. Philippe Coutinho anaonekana katika ikoni ya toleo la kwanza la mchezo huu, wakati David Beckham akionekana katika ikoni ya toleo maalumu la mchezo huu.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Pro Evolution Soccer 2019 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.