Rosa Fransiska Molas
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/98/MolasRosa.jpg/220px-MolasRosa.jpg)
Rosa Fransiska Molas (jina kamili kwa Kihispaniaː Rosa Francisca Dolors Molas y Vallvé; Reus, Hispania, 24 Machi 1815 - Tortosa, Hispania, 11 Juni 1876) alikuwa sista mwanzilishi wa shirika la Masista wa Bibi Yetu wa Faraja ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia wanawake na wenye shida mbalimbali[1].
Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 1 Mei 1977 na Papa Yohane Paulo II mtakatifu tarehe 1 Desemba 1988[2][3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
- ↑ "St. Maria Rosa Molas Vallvé". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2015.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Maria Rosa Molas Vallvé". Holy See. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2015.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "St. Maria Rosa Molas Vallvé". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2015.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
- Hagiography Circle Ilihifadhiwa 8 Novemba 2022 kwenye Wayback Machine.
- Santi e Beati
- Sisters of Our Lady of Consolation Ilihifadhiwa 23 Mei 2015 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |