Sara Ramadhani (amezaliwa tarehe30 Desemba1987) ni Mtanzania mkimbiaji wa mbio ndefu zijulikanazo kama marathoni. Alishiriki shindano la Marathoni ya wanawake ya mwaka 2016 ambapo alimaliza umbali wa 121 kwa muda wa 3:00:03 [1]
Tanbihi
↑"Sara Ramadhani". Rio 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2016. {cite web}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu wasifu wa Mtanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.