Sass Jordan

Jordan akitumbuiza mwaka 2010.

Sarah "Sass" Jordan (alizaliwa 23 Desemba, 1962) ni mwimbaji wa rock kutoka Kanada aliyezaliwa Uingereza, mwenyeji wa Montreal, Quebec.[1][2]

Marejeo

  1. Maclean, Steve. "Jordan, Sarah (Sass)". The Canadian Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2008.{cite encyclopedia}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "INTERVIEW WITH SASS JORDAN". 2 Novemba 2017.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sass Jordan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.