"You're Makin' Me High"/"Let It Flow" Imetolewa: 21 Mei 1996
"Un-Break My Heart" Imetolewa: 8 Oktoba 1996
"I Don't Want To"/"I Love Me Some Him" Imetolewa: 11 Machi 1997
"How Could an Angel Break My Heart" Imetolewa: 4 Novemba 1997
Secrets ni albamu ya pili ya mwanamuziki Toni Braxton, iliyotolewa nchini Marekani mnamo 18 Juni 1996. Baada ya kushinda tuzo tele kutoka kwa albamu yake ya awali, ikiwemo tuzo ya Grammy Award for Best New Artist; na kuuza nakala milioni nane, kulikuwa na matumaini mengi kwa albamu hii ya pili. Albamu hii iiuza nakala milioni nane nchini Marekani na zaidi ya nakala milioni tano kote duniani.
Nyimbo zake
"Come on Over Here" (Darrell Spencer, Tony Rich, Marc Nelson) – 3:36
"You're Makin' Me High" (Babyface, Bryce Wilson) – 4:26
"There's No Me Without You" (Babyface) – 4:19
"Un-Break My Heart" (Diane Warren) – 4:30
"Talking in His Sleep" (Toni Braxton, Keith Crouch) – 5:33
"How Could an Angel Break My Heart" (with Kenny G) (Babyface, Braxton) – 4:20
↑"IFPI Finland – Toni Braxton". IFPI (kwa Finnish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-08-18. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)
↑"Gold/Platin-Datenbank". Bundesverband Musikindustrie (kwa German). Iliwekwa mnamo 2009-07-19.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)
↑"IFPI Norsk – Salgstrofeer". IFPI (kwa Norwegian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2009-07-19.{cite web}: CS1 maint: unrecognized language (link)