Serapioni wa Antiokia

Mt. Serapioni wa Antiokia katika kanisa la Mt. Antoni Abati (Valencia, Hispania).

Serapioni wa Antiokia alikuwa Patriarki wa mji huo wa Siria (leo nchini Uturuki) miaka 191211.

Maarufu kwa elimu na mafundisho yake, aliacha kumbukumbu sawia kwa utakatifu wake [1]

Anajulikana hasa kutokana na maandishi yake bora kuhusu teolojia yaliyoripotiwa na Eusebi wa Kaisarea.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Oktoba.[2][3]

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.