Serengeti Shall Not Die
Serengeti Shall Not Die (Kwa Kijerumani: Serengeti darf nicht sterben; pia inajulikana kama Serengeti ) ni filamu ya mwaka 1959 ya Kijerumani iliyoandikwa na kuongozwa na Bernhard Grzimek. [1]
Marejeo
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Serengeti Shall Not Die kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |