Sheldon Glashow

Sheldon Lee Glashow

Sheldon Lee Glashow (amezaliwa 5 Desemba 1932) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usumaku. Mwaka wa 1979, pamoja na Abdus Salam na Steven Weinberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sheldon Glashow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.