Sibylla wa Burgundy
Sibylla wa Burgundy (1126 - 16 Septemba 1150 huko Salerno) alikuwa Malkia wa Sicily kama mke wa pili wa Roger II wa Sicily.
Marejeo
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sibylla wa Burgundy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |