Sinop

Sinop inaweza kutaja maana zifuatazo:

  • Sinop (Uturuki), ni mji uliopo karibu na Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki.
  • Jimbo la Sinop, ni jimbo la nchini Uturuki ambalo mji wake mkuu ni huo uliotajwa hapo juu.
  • Sinop, Mato Grosso, mji uliopo katika jimbo la Mato Grosso huko nchini Brazil

Tazama pia

  • Sinope
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.