Sony Xperia

Sony Xperia ni jina la mfululizo wa simu za mkononi na vifaa vingine vya rununu vinavyotengenezwa na Sony. Awali ziliundwa na Sony Ericsson kabla ya Sony kuimiliki kabisa mwaka 2012. Tangu 2021, Xperia iko chini ya Sony Corporation. Jina hili linatokana na neno "experience" na lilianza kutumika na Xperia X1 kwa kaulimbiu I Xperia the best[1].

Tanbihii

  1. Horrocks, Simon (2019-04-10). "Sony Xperia 1 - A Surprise Smartphone Filmmaking Leader?". Mobile Motion (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Novemba 2023. Iliwekwa mnamo 2023-11-10.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.